emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Taasisi za Umma Zizingatie Miongozo na Viwango vya Serikali Mtandao


Taasisi za Umma Zizingatie Miongozo na Viwango vya Serikali Mtandao


Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Kuwe Bakari amesema ni muhimu taasisi za umma kuzingatia  miongozo na viwango vya Serikali Mtandao kila wanapotengeneza au wanaponunua mifumo au wanapokwenda kwenye miradi ya TEHAMA.

Kwa taarifa zaidi, bofya hapa