emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Uchumi wa Viwanda unategemea Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)


Uchumi wa Viwanda unategemea Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)


"Dunia inapitia kwenye mapinduzi makubwa sana ya uchumi wanne wa viwanda unaoleta maendelea makubwa katika Nyanja ya utoaji huduma na utengenezaji bidhaa ambao utahusisha TEHAMA na mbinu nyingine za utengenezaji. Sisi kama watumishi wa umma tunapaswa kuchangia katika maendeleo yatakayotokea katika uchumi wanne wa viwanda na njia pekee ya kufanikisha hayo ni kwa kuhakikisha tunatumia vema utafiti na ubunifu", Mtenaji Mkuu wa UCSAF, Mhandisi. Peter Ulanga akisisitiza siku ya Utafiti na Ubunifu wa Serikali Mtandao iliyofanyika UDOM-CIVE 2019.

Kwa taarifa zaidi, bofya hapa