emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo

Huduma Zetu

Uendelezaji wa Usanifishaji wa Shughuli

Uendelezaji wa Usanifishaji wa Shughuli

Mpango wa sehemu za TEHAMA za Taasisi za Umma unaosaidia shughuli za jumla unafungamanisha Mifumo tu...
Bango la Matangazo Kielektroni

Bango la Matangazo Kielektroni

Bango la matangazo linahusisha usanifu wa picha na taasisi itakayotangazwa kwenye Tovuti Kuu ya Seri...
Utafiti na Mafunzo

Utafiti na Mafunzo

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) ilianzisha Kituo cha Utafiti na Ubunifu wa Maendeleo ya Serikali...
Ushauri na Msaada wa Kiufundi

Ushauri na Msaada wa Kiufundi

Mamlaka ya Serikali Mtandao inatekeleza lengo la kimkakati la kuratibu, kuwianisha na kuhakikisha ut...
Utengenezaji Mifumo ya TEHAMA

Utengenezaji Mifumo ya TEHAMA

Mamlaka ya Serikali Mtandao inatengeneza mifumo mbalimbali ya habari na mifumo tumizi kukidhi mahita...
Ukaguzi wa Usalama wa Mifumo

Ukaguzi wa Usalama wa Mifumo

e-GA inatathmini usalama wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi za Umma na kupendekeza maboresho
Uhakiki wa Mifumo ya TEHAMA

Uhakiki wa Mifumo ya TEHAMA

eGa inatoa ushauri unaolenga mapitio ya viwango katika mifumo ya TEHAMA na kusidia michakto ya sh...

Huduma kwa Mteja

Huduma kwa Mteja

Kazi inaendelea...
Uthibitishaji wa Miradi ya TEHAMA

Uthibitishaji wa Miradi ya TEHAMA

Mamlaka ya Serikali Mtandao inaratibu, kuendesha na kuhakikisha ufuataji wa viwango na taratibu za s...
Kukabili Majanga

Kukabili Majanga

Hufanywa kuhakikisha kuwa kuna ukingaji wa mifumo ya habari yenye ufanisi inayosaidia michakato miku...
Usajili wa Anwani za Tovuti za Serikali

Usajili wa Anwani za Tovuti za Serikali

Mamlaka ya Serikali Mtandao ni msajili pekee wa majina ya mitandao yote ya .go.tz na .mil.tz
Utayarishaji wa Sera ya TEHAMA

Utayarishaji wa Sera ya TEHAMA

Mamlaka ya Serikali Mtandao inajukumu la kutayarisha Mwongozo wa kiwango cha juu kuhusu jinsi TEH...

Machapisho

Machapisho

Tazama machapisho mbalimbali yanayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao, yakiwemo sera, kanuni na sheria. Machapisho yetu yanatoa maarifa na uchambuzi wa kina kuhusu masuala muhimu yanayochangia maendeleo ya taifa na mazingira ya kiteknolojia. Endelea kupata taarifa mpya na matoleo ya hivi karibuni; machapisho yetu ni rasilimali muhimu. Chunguza machapisho yetu ujifunze zaidi.
Tazama Machapisho

Washindi wa Serikali Mtandao 2025/2026

Uchaguzi 2025

Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora

Mpangilio