emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Taarifa Mpya

Sheria ya Serikali Mtandao inavyoleta thamani ya uwekezaji kwenye TEHAMA

Sheria ya Serikali Mtandao inavyoleta thamani ya uwekezaji kwenye TEHAMA

21st Apr 2020

"Lengo kubwa hasa la kuwa na Sheria ya Serikali Mtandao ni kuhakikisha kwamba Serikali inapata thamani halisi ya uwekezaji kwenye TEHAMA", Dkt. Jabiri Bakari.

Ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali -eGA HQ-DODOMA

Ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali -eGA HQ-DODOMA

20th Apr 2020

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas alitembelea Makao Makuu ya e-GA yaliyopo Mji wa Serikali Dodoma ili kufahamu jitihada za Serikali Mtandao nchini

Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao, 2019

Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao, 2019

20th Apr 2020

Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) iliandaa Kikao Kazi cha pili cha Serikali Mtandao kilichofanyika Januari 30 hadi Februari 2, 2019 katika Chuo Kikuu chaDodoma (UDOM) katika ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano. Kikao kilidhuriwa na washiriki 786 kutoka taasisi za umma ikiwamo Watendaji Wakuu, Maofisa TEHAMA na Watumiaji wa Mifumo.

Mkutano na Wandishi wa Habari  October 20, 2016

Mkutano na Wandishi wa Habari October 20, 2016

17th Apr 2020

Oktoba 20, 2016 Wakala ya Serikali Mtandao ilifanya mkutano na waandishi wa habari kuwaeleza namna Serikali inavyoziunganisha taasisi za umma kwenye mtandao mmoja wa mawasiliano.

Kikao Kazi cha Maofisa Mawasiliano Serikalini Mjini Morogoro, Machi 14-18, 2016

Kikao Kazi cha Maofisa Mawasiliano Serikalini Mjini Morogoro, Machi 14-18, 2016

17th Apr 2020

Wakala ya Serikali Mtandao inashiriki katika vikao vya Maafisa Mawasiliano Serikalini kwa lengo la kuwajengea uwezo Maofisa Mawasiliano wake. Mwaka 2016 Mtendaji Mkuu aliwasilisha mada ya wajibu wa Maofisa mawasiliano Serikali katika kupandisha na Kuhuisha taarifa kwenye tovuti za taasisi zao.